Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran
IQNA- Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa Tehran ameashiria jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika mauaji ya wanawake na watoto wa Kipalestina na kusema: "Utawala bandia wa Kizayuni unaoua watoto sasa umebadilika na kuwa nembo ya jinai katika mfumo wa kisheria wa kimataifa.
Habari ID: 3478635 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/05
Khatibu wa Sala ya Ijumaa
IQNA-Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa Tehran amesema kuwa, leo hii Yemen shujaa inaungwa mkono kila upande na kwamba licha ya kupita siku 100 tangu utawala wa Kizayuni uanzishe jinai zake kila upande lakini imeshindwa kufikia malengo yake huko Ghaza.
Habari ID: 3478188 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/12
TEHRAN (IQNA)- Hatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amezinasihi nchi za Ulaya kutotoa mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa na malengo haramu ya watawala wa Marekani na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474601 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/26